Search

52 results for Ernest Magashi :

  1. Madiwani Bukombe wapewa kazi maalum tishio la El Nino

    Kupitia Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Bukombe, tayari Serikali imechukua hatua kukabiliana na madhara ya El-Nino kwa kuwakabidhi viongozi na...

  2. Rais Samia awapigia walimu simu akiwa Qatar, awapa ahadi nzito

    Bukombe. Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu zikiwemo zinazowakwamisha walimu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. Akizungumza kwa njia ya simu leo...

  3. Samia ateta na walimu, amtaka Biteko kumfikiashia kero zao

    Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ambae ni Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda amesema tayari Serikali imeanza kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili sekta ya elimu ikiwemo kulipa...

  4. Radi yaua wawili Bukombe

    Watu wawili wameuwawa kwa kupigwa na radi kwa nyakati tofauti mkoani Geita, akiwamo aliyekuwa akifua nguo mtoni, na mwingine aliyekuwa akichimba viazi sambani wakati mvua ikinyesha.

  5. Waliofariki ajali ya Hiace kugongana na lori watambuliwa

    Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo, uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari dogo la abiria kusinzia wakati gari likiwa kwenye mwendo kasi.

  6. Sita wafariki ajalini Geita

    Watu sita wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari ya abiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Mzibira kata ya Uyovu wilayani Bukombe Mkoa wa Geita.

  7. Ajali yakatisha uhai wa Padre Kanisa Katoliki Bukombe

    Kifo cha Padre Bundala kilitokea muda mfupi baada ya gari ndogo alilokuwa akiliendesha kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Happy Nation.

  8. Wakulima wa pamba waongezeka Bukombe

    Wakulima wa zao la pamba wameongezeka kutoka 8, 000 mwaka jana kufikia 11, 000 mwaka huu Wilaya ya Bukombe mkoani Geita.

  9. Wilaya ya Bukombe yalia upungufu wa wauguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Waunguzi Tanzania (TANNA) Wilaya ya Bukombe, Lucianus Ng'ella amesema wauguzi 203 kati ya wauguzi 263 waliopo wilayani humo wanafanya kazi katika vituo vya huduma vya umma...

  10. Watu 700 wana TB Bukombe

    Kati yao wanaume ni 459 na wanawake 241, chanzo kikitanwa ni kufanya kazi sehemu yenye vumbi kwa muda mrefu yakiwemo maeneo ya migodini.

Page 1 of 6

Next